Duration 27:15

LIVE: MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA, MAMA JANETH NA KIKWETE, HOTUBA YAKE NI TAMU KWELI

118 133 watched
0
658
Published 2021/03/26

🔴#LIVE: MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA, MAMA JANETH NA KIKWETE, HOTUBA YAKE NI TAMU KWELI! MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, unatarajiwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, Leo Machi 26 huko Chato Mkoani Geita... Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi wastaa wakiwemo Marais wa awamu ya Pili, AL Hassan Mwinyi na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 151
  • @
    @queenkileo3698منذ 3 سنوات Bless Mzee wetu.he still got the sense of humour!!! 21
  • @
    @davidsalikoki6319منذ 3 سنوات Kama na wewe ulitaman aendeleee twende sawa like 39
  • @
    @muhammadsaidi4872منذ 3 سنوات ALLAH AMPE SIHA NA AFYA BABA MWINYI NA AMPE MWISHO MWEMA YARAB AMIN YARAB SHUKRAN SANA MANENO MAZURI YENYE HIKMA SANA ✅ 9
  • @
    @ibba8082منذ 3 سنوات Hata Namuona Mama Janeth Angalau Katabathamu.Pamoja Sana Mzee Wetu 23
  • @
    @johanajoseph878منذ 3 سنوات Raha sana kumsikiliza mzee wetu jamani, siku mojamoja apewe nafasi aongee na wananchi wake, tusisubiri siku tukimkosa jamani, maana maisha yana mwisho. so loveble babu 6
  • @
    @bintmohamedmalevi3771منذ 3 سنوات Poleni sana ndungu
    Mzee anatufanya tucheke msibani
    11
  • @
    @aminatanzanya7475منذ 3 سنوات Mungu akupe maisha maref mzee mwinyi Leo tumekuw happy kidg kwa ajili yako 8
  • @
    @Brain7912منذ 3 سنوات Umetufariji kwa kipindi hiki kigumu kwani maneno yako ya hekma yametupa faraja na nguvu Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu hekma na busara kwa uwezo wake (Amen) 4
  • @
    @violetmageto7134منذ 3 سنوات Nimeipenda hotuba yake. Anaongea kwa heshima Sana na hekima 18
  • @
    @nully123منذ 3 سنوات Allah akupe afya na umri mrefu mzee wetu nampongeza pia bodyguard akijaribu kumsaidia. 11
  • @
    @raymondmchani8493منذ 3 سنوات Thank you Mzee Wetu Rais mstaafu A.H.M for giving us laughter during this hard times for most of us Tanzania's..and the rest of World who believed on our beloved mwendazake .. 22
  • @
    @thomasmartinez786منذ 3 سنوات Mama siti uko pale ningemuuliza wapi hapamiaka mingi mzee wetu mungu akulinde 19
  • @
    @ashimaaurassa8175منذ 3 سنوات Mungu ailaze roho ya jpm Mahalia pema peponi 7
  • @
    @cefinelgon2548منذ 3 سنوات Raha sana kuwa na wazee waasisi wa taifa 12
  • @
    @ponsianamataka4607منذ 3 سنوات Asante Baba mzee Mwinyi. Nakuona jinsi ulivyo mnyofu kutoka ndani kabisa ya Moyo wako Kama mtoto mdogo na speech ni nzuri Sana. 2
  • @
    @nellyelias20منذ 3 سنوات Safi sana Mzee Wa ruksa kwa kusema ukweli umenifurahisha sana
  • @
    @sweetluc2660منذ 3 سنوات Asante Mzee wetu Mwinyi kutufanya tucheke kidogo baada ya kulia kwa wiki Zima 8
  • @
    @pendaelimolell3510منذ 3 سنوات Asante mzee wetu afadhali mama janeth kapata furaha kidogo 4
  • @
    @sweetluc2660منذ 3 سنوات Baba Hayati Raisi wetu wanyonge amewainua Leo tumecheka kidogo Mzee wetu Mwinyi Mungu azidi kukutunza 9
  • @
    @kennedysalanomashairi7187منذ 3 سنوات Rukhsa! Twakuheshimu mno afrika Mashariki rais mstaafu Mwinyi.
  • @
    @sameerahmed2838منذ 3 سنوات MAN OF THE MATCH KWENYE TEAM YA WAOMBELEZAJI 5
  • @
    @rekidiusalexander1542منذ 3 سنوات Great GOD BLESS YOU MWINYI
    R.I.P MR PRESIDENT JPM
    Akika tutakukumbuka daima
    6
  • @
    @marianelmi6168منذ 3 سنوات Maashaalah Tabaraka
    What are decent man
    5
  • @
    @agnessmpogole1434منذ 3 سنوات Ubarikiwe sana mzee umetufanya tucheke kidogo 1
  • @
    @hajishabani7957منذ 3 سنوات Hotuba ya dhati kabisa.. bila unafki ndani yake kawa yule.. Mungu akubariki mzee wetu mwinyi 10
  • @
    @vonethaleonard172منذ 3 سنوات Asante saana Baba Mwinyi na hekima ya nchi yetu 1
  • @
    @alzainaalaghbary5560منذ 3 سنوات Mzee wetu Allah akujalie kila la kheir na akuhifadhie mama siti
  • @
    @leiratykisura6718منذ 3 سنوات Allah ampe maisha malefu mzee mwinyi in sha Allah ametupa faraja na bahada ya wiki mzima tunaria reo ametufanya tumecheka Allahmdulillah 4
  • @
    @florakweyunga4490منذ 3 سنوات Nikweli ulimpenda Maguful mzee wetu.Mungu akupe nguvuna Afya ya Roho na Mwili.umeongea ukweli mtupu,nilitamani wakupe muda mwigi uwendelee. 3
  • @
    @bazilizakaria143منذ 3 سنوات Dah asante raisi mstaafu kidogo na mimi nmecheka 1
  • @
    @nickodemsimchimba594منذ 3 سنوات Daa Mzee chochote kinachopita mbele yake anaongea Tu 16
  • @
    @meena-ol6foمنذ 3 سنوات Umetufariji baba tumelia sana mzee rukhsa we love you 1
  • @
    @jonasmaganga7302منذ 3 سنوات Kwa mara ya kwanza nimeona body guard anacheka 6
  • @
    @Ramadhanimsingwaمنذ 3 سنوات Mungu akikupa busara na hekima hadi uzee ni kumshukuru hongera raisi mstaafu
  • @
    @focuseric4109منذ 3 سنوات Ndugu zanguni watanzania wazalendo tumuombee mzee wetu mwinyi mungu ampe maisha marefu LKN LEO HII MZEE MWINYI AMENICHEKESHA SANA!!YUPO CHATO LKN KASAHAU JINA LA MAHALI ALIPO AKAMUULIZA MAMA SITI MWINYI NIMECHEKA SANA!!! 15
  • @
    @adbashtv6701منذ 3 سنوات Mzee kafanya kazi nzuri mnooo kumtabasamisha mjane
  • @
    @neemakoka599منذ 3 سنوات Mzee havai hata miwani daaah kweli Mungu kampendelea 23
  • @
    @ramadhanikamaka3839منذ 3 سنوات Mzee mwinyi hakika wewe ni zaidi ya jembe, umeleta faraja kubwa sana kwenye msiba mkubwa, inshallah mwenyezi Mungu akupe afya tele mzee wetu
  • @
    @nasramaulid3828منذ 3 سنوات Mzee wa ruksa allah azid kumuweka jaman 2
  • @
    @khamikhan4805منذ 3 سنوات Mzee ana hekma kubwa Allah ampe afya njema 7
  • @
    @shamomar629منذ 3 سنوات Miaka 96 na havai miwani!!, Allah amlinde na afya njema
  • @
    @gloriamasaka7635منذ 3 سنوات Tunaomuobea sana Raisi Samia. MUNGU help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. Mathayo 25 na ISaya 58 inatufundisha kujitayarisha id="hidden5" class="buttons"> kwa hukumu  tusilimbikize vitu tuwe wakarimu sana. YESU anakuja hebu tuwe tayari kama YEYE naamini alijitayarisha akijua anaenda kufa. Tuanze kuwa wema kwa familia na ....وسعت 2
  • @
    @helensusana2026منذ 3 سنوات Marais wa Inchi ya Tanzania wote ni wa maneno ya Busara, vijana igeni mfano huo.JPM nenda salama tutakuombea. 4
  • @
    @magrethandrew9503منذ 3 سنوات Hii hotuba natamani kuirudia hata mara 100, imetufuta machozi kwa kweli ina ukweli mtupu, Mungu akubariki babu. 1
  • @
    @wilrickshayo8144منذ 3 سنوات Ngoja kwanza kijana wanguu hapa ni mjinii
  • @
    @marygustaph3649منذ 3 سنوات mama siti panaitwaje vile hapa, Mungu akutunze mzee wetu, umetufanya tutabasamu japo tuna majonzi, (RIP MAGUFULI ) 3
  • @
    @josephjohnmagesa8256منذ 3 سنوات Mzee ajavaa miwani ,amesimama dakika 25,dah balaa 2
  • @
    @AliJabir-xi4emمنذ 3 سنوات Mama siti hapa tupo wapi hahahaha mwinyi kanivunja mbavu 6
  • @
    @sifasanga7866منذ 3 سنوات Mwinyi umewashinda wote, Mama Janet leo kafarijika. Ulikua wapi Babu wa mie Jamani. Ametabasamu leo Mama etu sababu yako. 2
  • @
    @madamboss348منذ 3 سنوات Wazee kama hawa ndio Sudi khalwale wa kenya Mungu sijui kenya tuligwama wapi
  • @
    @benjaminjoseph1747منذ 3 سنوات Huyu mzee nampenda. Hana wivu ka wengine. Sio mara ya kwanza kukiri kwamba Magufuli ni mchapa kazi, amefanya mambo makubwa na mazuri kwa muda mfupi kuliko sisi tulioongoza miaka 10. Mungu akulinde na kukubariki mzee wetu. 6
  • @
    @amanichanga3448منذ 3 سنوات Raisi Pekee ambaye bado yupo kwenye hela, sh 50 8
  • @
    @vincentmushi1247منذ 3 سنوات Mungu azidi kukupa uzima babu yetu wa taifa,mzee ruksa,haki hotuba yako ni faraja kubwa kwa wafiwa na taifa zima
    Yaani nimecheka mpaka basi,mpaka id="hidden7" class="buttons"> nimesahau kama ni msiba,halafu babu macho bado yanaona kama kawaida
    Hamna miwani wala mkongoja
    Babu oyeeeee
    ....وسعت
  • @
    @mahesenitunduma2438منذ 3 سنوات Eti mama siti yuko mbali ningemuuliza hapa panaitwaje!? 3
  • @
    @allymwazoa6301منذ 3 سنوات Siku moja ukasema ngoja niwanon,goneze.Nimedumu katika mazoezi miaka yote kila asbh nakimbia maili tano.leo nimeona uimara wako bado hushikwi mkono wala hushiki bakora. Mola akuweke mzee mwinyi
  • @
    @saidbissama9230منذ 3 سنوات mama siti ndo mkalimani wa mzee mwinyi 3