Duration 2:5:51

KUCHAGUA MCHUMBA, BIBILIA IMETOKA WAPI, KANUNI ZA KUPAMBANA: MAPAMBANO HADI USHINDI SIKU YA 3

192 watched
0
1
Published 2020/11/09

Subscribe Channel ya Mkutano: /channel/UCQd2H0a3G8iFLDtlDJdZxJA Karibu kutazama mkutano mkubwa wa MAPAMBANO HADI USHINDI LIVE. Muda ni kuanzia saa 11:40 kila siku jioni Kutakuwa na semina na mahubiri yanayohusu; 1. Familia-Mch. Stephen Letta Namna ya kuchagua mchumba au mwenzi wa maisha. 2. Darubini ya Imani-Mch Brian Abdallah Somo la leo ni Biblia ilitoka wapi? Somo linaleta ushahidi wa maandiko kwamba biblia ni hakika neno la Mungu. 3. Pambano KUU-Mch Jonas Singo Fahamu kanuni za msingi katika kushinda mapambano ya kiroho katika ulimwengu huu. Ungana na mchungaji. Kanuni hizi ni za msingi sana ili uwe mshindi. Neno kuu la Mkutano: "Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda". Warumi 8: 37 Mawasiliano: 0684093174

Category

Show more

Comments - 0