Duration 22:20

Padre Maximilian MutasingwaUshirikina ni kinyume cha imani/Hakuna anayeadhibiwa kutokana na ujinga

348 watched
0
4
Published 2021/12/11

Huu ni mfululizo wa mafundisho yanayotolewa kila Juma katika kanisa kuu la Jimbo Katoliki Bukoba na aliyetoa mafundisho Juma hili ni Padre Maximilian Mutasingwa Paroko msaidizi wa Parokia ya Rwamishenye Jimbo Katoliki Bukoba mada ikiwa ni IMANI

Category

Show more

Comments - 1