@mussalameck4667منذ 5 سنواتLugha unayotumia muda mrefu na jamii Fulani hua inabadilisha matamshi ya Lugha mama na sio rahisi kwa Mhusika kugundua mpaka aambiwe. Nimethibitisha hili kwa kuzurura kidogo, Bado yupo vizuri sana 2
@
@celinelawrence2015منذ 5 سنواتJaman msimseme mana ata mimi nimeish Nigeria miaka 7 nikajikuta naongea lafudhi ya knaijeria na nimeishi kenya miaka 11 nimejituta naongea lafudhi ya wakenya id="hidden2" class="buttons"> hii nikawaida alafu ameshawaambia yeye nimasai na wamasai mnajua kama kiwsahili awakijui sasa mnatakaje wabongo acheni uswahili ....وسعت2
@
@aishaawadhimalokimaloki9953منذ 5 سنواتHongera dada uko vizur sema binadamu wengine kusema mtu vibaya ni hulka yao kwahio bila majungu hawawez ishi kikubwa jali kazi yako 4
@
@amosikabalata6381منذ 5 سنواتSijui sisi Wamasai tuna nn asee!? Angekuwa kabila nyingine ungesikia mtanzania aliyeishi ulaya miaka 20! Naipenda sana kabila langu 31
@
@nezryallyan6344منذ 5 سنواتMie najua hyu alikua ni kimasai kwnda mbele kiswhli sio sna+ na hyo miaka 20 9
@
@muadhinalbashary6728منذ 5 سنواتMbn anajitahid kuongea vzr unafikil anamiaka mingap ukitoa hiy ishilin aliyoish huk nje na bad anaongea vzr na anaelewek 29
@
@modaxmillano9352منذ 5 سنواتBeautiful, kiufupi unajua na wataona kibongo bongo apa 2
@
@binsultan6981منذ 5 سنواتyaan sjui mmasai anaomekanaj. mm naamin angkua kabla lngne lisngtajwa.ingeandkwa tu. achn ubaguz wa rejareja 16
@
@barakalukumayمنذ 5 سنواتHuyu ukiangalia sura vizuri alienda akiwa mdogo sana ndio maana hata hicho kiswahili alikua hakijui vyema hivyo wala usimshangae kalikua kadogo sana kwa id="hidden3" class="buttons"> sasa kana miaka 28 sasa ona alienda ako na 8 yrs alisoma huko na mengine huko so yuko sawa ....وسعت13
@
@andrewjosephhezron23منذ 3 سنواتAnajitahidi sana kuongea kiswahili nikiguess pengine aliondoka akiwa na miaka 6 arafu mmasai 20 ulaya it's not easy hongera
@
@johnkieru6347منذ 5 سنواتMaajabu miaka ishirini na bado anaeza zungumza kiswahili 4
@
@benjaminmollel8833منذ 5 سنواتeeeh Mungu dah cc haina maaana cyo watanzania amaaa 3
@
@awadhirajabu7754منذ 5 سنواتMbona Watanzania Baazi Vipi Uyu Alikaa Ulaya Miaka 20 Inamana Alikwenda Wakati Kiswahili Akijui Sana Ivi Amuwajui Wamasai Kiswahili Awakijui Sana Wengi Wao Acheni Wivu Wa Ugonjwa Wa Akili 38
@
@waukweelinikkon6555منذ 5 سنواتHapo Hata miaka 30 hajafika,na amekaa ulaya miaka 20,Hivyo alikuwa mdogo sana,hawezi kukumbuka kiswahili vizuri jamani,msimcheke 4
@flavour_full741منذ 5 سنواتNimeishi ulaya miaka ishirini pia ayaayaaiii . I just counted and was shook. 1
@
@zahramohammed846منذ 5 سنواتMi nakataa watoto wangu wamezaliwa ulaya wanakiswahili kizuri kuliko yeye. 1
@
@msafirlaizer2368منذ 5 سنواتMy advice kwa huyu dada. Ajipendekeze kwa Rosa Ree 14
@
@mathiashussein552منذ 5 سنواتmsitoe mifano ya ulaya hapahapa bongo unajua kunawatu wanatoka vijijini wanakuja mjini na kule alikotoka alikuwa anaongea lugha vizuri lakin kuja mjini id="hidden5" class="buttons"> amekaa miaka sita kuja kurudi kijijin kuongea lugha hawezi ila wenzie wakiongea yeye anaskia na kuelewa kila kitu ila kuongea ndio inakuwa ngumu kwake hiyo ipo so sipingani na hiro for me ....وسعت8
@
@alexchungu9505منذ 5 سنواتFirst language yake ( kiswahili) imekuwa affected by second language , thus why accent yake ni tofauti in terms of her pronouncition. Ila sio anajifanya id="hidden6" class="buttons"> kasahau kiswahili.. yan ni very simple logic watu wanashindwa kuelewa. ....وسعت22
@
@stumay-wx9rpمنذ 5 سنواتSimcheki huy Dada ukiish na watu siy lugh yako utakuwa unashindwa. Tuko wote wasikuchek 5
@
@jacquelinosmond221منذ 5 سنواتMbona wamasai wengi kiswahili ni shida ?huyu anajitaidi sana mbona.Mimi pia nilimsikiliza hamorapa kakaa Kenya miezi miwili sjui mitatu keshasahau kiswahili,shkamoo hamorapa 1
@
@deezotv8966منذ 5 سنواتImagine ameishi 20 years Ulaya, na bado tunapang chumba nae Naitaji bahti kma hiyo mm kwenda huko 6
@
@abymedia9842منذ 5 سنواتKiswahili anajua tena sana tu. sema Accent ndio shida coz ya lugha aliokua anatumiaaa. ni sawa tu na mtu kuongea lugha ya kijijin kwao kwa lafudhi ya kibongo. 5
@
@ayoubwakanai6863منذ 5 سنواتMtangazaji na wengineo mjue Bongo ni Tanzania. Neno hili lilibuniwa na mabaharia wa zamani na walipokuwa wakilitamka ni katika hali ya kusikitisha sana. 1
@
@allymngwaya9855منذ 5 سنواتWatu mjiongeze, ameishi Ulaya miaka 20 ukiangalia umri wake ina maana alienda akiwa mdogo sana kwa hiyo kutokuwa na fluency katika Kiswahili siyo kosa lake. 2
@
@aketchjob6156منذ 5 سنواتGive her a break. Kiswahili is not a basic need 18
@
@Kifyasiمنذ 5 سنواتAcheni mambo yaajabu, kwasababu mm nimeondoka kwetu mwakajana lakini nimeshasahau lugha yetu ya kihehe, nawaza nikiludi sijui ntakua mgeni wanani 9
@
@barakastephano6144منذ 5 سنواتHuyu demu anaongea saut kama Gabo Zigamba 1
@HABIBULLAH-nd9ftمنذ 5 سنواتMi nakwambien hakuna kabila lililo baki tz ambalo bado linatunza mila kama wamasai hivyo mmasai vigum sana kusahau mila na lugha yake husika hata ingekuwa id="hidden11" class="buttons"> miaka sabiin hutasahau vip lugha yako nakama utasahau utaanzaje vip? Kwa mfano???? ....وسعت1
@
@maryamabdalahmakyalue40منذ 5 سنواتTena sasa ngoja niwachane, huyo dada angekua na mashauzi, angeongea kingerez kingi kiswahili ingekua anadokoa, sas njoo kwa wadad wa bongo movie 10
@
@mercynayian3097منذ 5 سنواتLazima mngemention wamaasai?!ghasia nyinyi,huyu mrembo ako tu sawa 1
@
@bonifastarimo9636منذ 5 سنواتMi nashangaa watu wanamind huyo dada kusahau kiswahili wakati harmorapa kaenda kenya si tatu kiswahili tupa kule 77
@
@lucasmhagama8166منذ 3 سنواتKwa nini usuandike Mtanzania aliyeishi Ulaya miaka 20 kwani kwa Mmasai imekuwa ishu
@
@ackshuba8679منذ 5 سنواتYaan ukimsikiliza huyu Masai utakugunduwa kuwa hapo alipo hajui yuko dar au arusha. Yeye anajuwa tu yuko Tanzania Kama huamin angalia kuanzia dakika id="hidden13" class="buttons"> ya hadi 6.1 ....وسعت7
@
@RachelLeonardمنذ 5 سنواتI love this girl course she spoken swahili more than English, as athers who speak swahili when they beck in theirs village they do speak swahili more than mother language 4
@
@sarahhaule3964منذ 5 سنواتMatako nyie inamana mmsai wana nchi yao au niwatanzania wenzetu, kwann msingeandika Mmasai mtanzania 5
@
@natalyajacson8328منذ 5 سنواتNikwamba amekwend ulaya tokea 1999 so miaka kidogo musimlaumu banaa 6
@
@shifamakame4622منذ 5 سنواتNipo omani tn siishi na waswahili naishi na waarabu safi ela kiswahili km chote naaza VP kusahau kw mfano 5
@
@mosquitoonlinetv2740منذ 5 سنواتLulu huyo kamasai cha watu anae bisha abishane xaxa na ukwel kiufupi ni Mmasai na anaishi ulaya tena n juz kat 2 hapo amerudi tena 3
@
@lissagloo350منذ 5 سنواتNaona watu wanasema kiswahili chake jaman amekaa ulay good 20 years means alikuwa anaongea kingereza masaa 24 lazima asahau kiswahili 3
@
@kadijakk6384منذ 5 سنواتJamani lakni mbona huyu dd anajitahidi sana kuongea kiswahili kwani si akiwa kule ulaya anaongea kingereza nakimasai mbona wabongo wakiurizwa kdogo no coment lakn huyu cjasikia no ciment 6
@
@farajalaizer4669منذ 5 سنواتMmasai hasahau asili yake Neva ever, uyu uzungu mwingi 1
@
@primitiveguy2026منذ 5 سنواتukiishi ulaya kwa nchi amuongei kiingereza kwa miaka 20,lazma kiswahili kiwe na lafidha ya iyo kijerumani ivi 6
@
@bathshebamchuza2648منذ 5 سنواتinategemea kua alkua anazungukwa na akna nan huko ulaya, km we uko ulaya unazungukwa na wabongo wenzako unadhan lafudh yako itakua ya kzungu km huyo, 7
@
@footballkingz5223منذ 5 سنواتKwa kweli sijisifu, bali nipo Ulaya kwa takriban miaka 27 lakini kiswahili changu ni kilekile cha nyumbani kwa kifupi nikikutana na wewe huwezi kujua ya id="hidden17" class="buttons"> kwamba naishi ughaibuni kwa kiswahili changu kilivyo fasihi, ni mpaka mwenyewe nikwambie naishi ughaibuni, huwezi kuamini. ....وسعت18
@
@maliethnyoni2847منذ 5 سنواتHaya mahojiano yamenifanya mpk niludie mara tatu maana ata sijaerewa kinaongereka nn jmn 8
@
@billionaireemmaمنذ 4 سنواتDiamond plantiumz ampiga lavalava kisa zari na watoto wake HUONDO
@
@shahadaushindi7745منذ 3 سنواتAcheni wivu nyie wabongo mi niliishi mahali fulani tu kiswahili accent ikabadilika. Ukienda kwa mwenye chongo vunja lako jicho ili muendane. Kwa hiyo wanao id="hidden19" class="buttons"> mkejeli huyu dada na wao waende huku waone. huku alikuta na wakina rick ross' Mick mill, gunit, Barack obama sa unategemea ataremba? Acheni wivu ....وسعت
@
@fatmakhanii1676منذ 5 سنواتAcheni ushamba wamasai hata wasipo enda nje kiswahili chao nishida hapo kajitahidi sana wala hajaongea kizungu 1
@
@charlesmassawe6321منذ 5 سنواتHata ukiishi ulaya miaka 30 ni vigumu kusahau lugha mama. 17
@
@lillianeriksson8183منذ 5 سنواتMie nimekaa ulaya miaka 19 sitaweza kujifanya sijui kiswahili 2
@
@thomasmaphior79منذ 5 سنواتWe masai jielewe nini ulaya sema nilikua Italian ivi mimi nikisema African utafahamu wapi funguka kama Italian 3
@
@jarsaduba2626منذ 5 سنواتKuishi ulaya miaka 20 ni kwamba kiswahili unasahau acha kutuchocha we Dada 2
Related videos for MMASAI ALIYEISHI ULAYA MIAKA 20 ARUDI BONGO / WAMASAI WAANGUKA / VIDEO VIXEN WA LAVALAVA:
Ila sio anajifanya id="hidden6" class="buttons"> kasahau kiswahili.. yan ni very simple logic watu wanashindwa kuelewa. ....وسعت 22
Kama huamin angalia kuanzia dakika id="hidden13" class="buttons"> ya hadi 6.1 ....وسعت 7
kiufupi ni Mmasai na anaishi ulaya
tena n juz kat 2 hapo amerudi tena 3