Duration 3:25

WEWE SI MAISHA YAKO YALIYOPITA AU MAKOSA YAKO/YOU ARE NOT YOUR PAST OR YOUR MISTAKES

1 029 watched
0
26
Published 2021/11/21

Wewe si maisha yako yaliopita, Wewe si makosa yako, Wewe si kufeli kwako.Wewe si uliyejana, wewe si hata ulikuwa hii asubuhi. Wewe ndo yule uliyetaka kuwa, uliyejizatitikuwa, unaweza kufanya maamuzi ambyo yanaweza kukubadilishia maisha yako. Wote tunaweza kujiboresha sisi wenyewe, hakuna hata sababu hata mtu kuishi kwenye kipindi cha kiza kwenye maisha yao yaliyopita.Wakati future zao ni bright na inawasubiria.Kuendelea kushikilia vitu ambavyo vilienda vibaya kwa yaliyopita, haitoweza kutengeneza maisha yajayo, haitoweza kukufanya ujisikie vizuri kwa wakati huu. Hii itaongeza zaidi mateso. Kwahiyo unatakiwa kujiuliza mwenyewe, lile tukio, ule wakati kwa maisha yangu uliopita, ule wakati ambao ushaisha sasa, je unathamani wa kuharibu Furaha ya maisha yangu ya sasa na yajayo.Ni kweli nitaweza kuuacha wakati ule, au mtu au tukio lile kunishinda? Je nitauawacha wakati uliopita kuharibu Furaha yangu ya maisha yajayo? Achia, wote sisi ufanya makosa.Wote unafanya hivyo. Wale ambao usonga mbele wananafasi kubwa ya Furaha wakati wote na kwa maisha yao yajayo. Jisamehee mwenyewe, samehee kila kitu na kila mtu, na hisia uzito unapungua kwenye mabega yako, unapotemebea kuelekea kwenye maisha yako mapya.Rudia hii wewe mwenyewe kila siku “Mimi Sio Mapito yangu” Mimi Sio Makosa yangu” “Mimi Sio Kufeli Kwangu” Mimi ndo yule niliyeamua kuwa, mimi ndo yule ambaye nimecommit kuwa, nimecommit kuwa bora ninayeweza kuwa. Nina samehee na kusonga mbele, nangalia mbele kwa upya wangu.Mazuri yangu bado kuja- My best yet to become. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡MIMI SIWEZI/NI NGUMU SANA/MAFANIKIO NI KWA WALIOKUWA NA BAHATI TU 👉/watch/w29NWxfvwTyvN ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/0DtvsaPSehVSv ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx

Category

Show more

Comments - 5