Duration 3:00

Krimasi Kwa Jamii Ya Waluhya

25 772 watched
0
82
Published 2014/12/25

Kuku au ingokho wanavyoita wenzetu kutoka magharibi mwa kenya ni kitoweo muhimu kwenye karamu au sherehe zao. Wenyeji wanasema bila kuandaliwa kitoweo cha kuku, sherehe si sherehe. Tumlimpa mwanahabari wetu Patrick Injendi ambaye ni mmoja wao kibarua cha kufuatilia familia moja kutoka Kaunti ya Kakamega inaposherehekea Krismasi leo kujua ni kwa nini kuku ni kiungo muhimu sana kwenye sherehe za jamii ya Waluhya.

Category

Show more

Comments - 18