Duration 8:22

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AMTUMBUA RC MOROGORO, AMTEUA MWINGINE

4 224 watched
0
14
Published 2019/09/20

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya Mabadiliko na Kuteua Viongozi wengine katika baadhi ya Nafasi mbalimbali katika Serikali. Uteuzi unatangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi.

Category

Show more

Comments - 3