Duration 10:40

''Baada ya Sumaye na Lowassa kurejea CCM tumejifunza mengi mno'' Zitto Kabwe

28 434 watched
0
140
Published 2020/07/20

"Tunajitahidi kuona kuwa viongozi wa kisiasa kama Bernard Membe na hata viongozi wengi wanaokuja kujiunga nasi tuwapa heshma mbali na kuwapokea kuwa sehemu ya familia yetu ya chama cha ACT Wazalendo''. Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe anasema chama chake kimejifunza mambo mengi tangu muungano wa vyama vya upinzani mwaka wa 2015 mzee Edward Lowassa na waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye waliporejea kwenye chama cha mapinduzi. #UchaguziTanzania2020 #Siasa #Tanzania #upinzani #ACTWazalendo #CCM #Chadema #CUF #Ukawa #zittokabwe #sumaye

Category

Show more

Comments - 70