Duration 34:29

Maajabu ya Dunia Mti Ukikatwa Upande Unatoa Damu, Upande Unatoa Utomvu

675 674 watched
0
1.7 K
Published 2017/08/14

SUBSCRIBE NOW: /user/uwazi1 Mti huu ni aina ya Mvule na unapatikana katika Kijiji Cha Lugombo, Kata ya Kisiba, Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya. Mti huu, maarufu kwa jina la Mti wa Katembo, unakadiriwa kuwa na umri wa miaka 600 au zaidi. Ukubwa wake wa duara unahitaji watu kuanzia wanane waliounganisha mikono. ukiupima una futi 39 katika kimo cha juu kidogo lakini una futi 43 chini kabisa. Inaelezwa kuwa Mnamo mwaka 1975 mti huu kwa mara ya kwanza ulidondosha tawi lake moja ambalo, hata ukifika leo panaonekana, inasemekana lilipoanguka ilikuwa kama tetemeko la ardhi kutokana na kishindo kilichotetemesha kijiji kile na vijiji jirani. GLOBAL TV ONLINE imefika eneo la tukio na kuongea na viongozi wa kijiji na kushuhudia huo mti ukitoa utomvu wa damu. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/ Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 157