Duration 2:57

MAGOLI YA PENATI KATI YA JUVENTUS DHIDI YA MACHICHA FC.

144 watched
0
3
Published 2021/06/21

#zff #tff #cocosportscup Timu ya Juventus kutokea meli nne imeibuka mabingwa wa ngao ya Jamii ya mashindano ya Coco Sports Cup 2021 msimu wa sita dhidi ya timu ya Machicha FC Ushindi huo wameupata baada ya Mikwaju ya penati 4-3 Mashindano ya Cocosports Cup yanaandaliwa Coconut Fm

Category

Show more

Comments - 0