Duration 8:38

WIKI YA 5, HAYA NDIYO MAENDELEO YA AHADI YA JPM UJENZI WA JENGO LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE MWANZA

18 638 watched
0
105
Published 2019/10/28

IKIWA ni wiki ya 5 sasa kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa jengo hilo linalokadiriwa kugharimu Bilioni 12 hadi kukamilika kwake mwezi Aprili, 2020. Kwa sasa hatua ya awali ya ujenzi wa msingi umefikia asilimia 60 ambapo kazi inafanyika usiku na mchana ili kufikia malengo ya kukamilika ndani ya miezi sita badala ya miezi 12 kama ilivyopangwa hapo awali. Hatua ya ujenzi wa jengo hilo jipya na la kisasa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli alilolitoa Julai 15, 2019 wakazi akizindua miradi ya afya katika Hospitali ya Rufaa Bugando ambapo Halmashauri za Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela nazo zinachangia shilingi bilioni nne kwenye ujenzi huo. Mradi huo unasimamiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza kwa kushirikiana na Wataalam kutoka Halmashauri za Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela kupitia mfumo wa "Force Account".

Category

Show more

Comments - 33
  • @
    @gabrieljesus1018منذ 5 سنوات Ahsante bro Albert kwa video na maelezo bomba, endelea kutuhabarisha yanayojiri nyumbani.. 5
  • @
    @georgemwidima3851منذ 5 سنوات Hongera MKuu wa Mkuu wa Mkoa, Pongezi, Heko. 2
  • @
    @georgemwidima3851منذ 5 سنوات Naona kazi inaendelea vizuri. Kumbe tuna wahandisi wazawa bora kabisa, tukiendelea kuwatumia Tanzania itakuwa mfano duniani. Heko msanifu majengo. 1
  • @
    @edwardmsongelwa5455منذ 5 سنوات Concrete mixer ni ya kizamani sana imepitwa na wakati kutokana na pesa mnazozipata badilikeni nendeni na wakati 1
  • @
    @michaejp1منذ 5 سنوات Ilikuwa aibu sana majengo ya uwanja wa ndege kuwa kama shule ya kata ilotelekezwa. Hapakuendana kabisa na hadhi na mji wa Mwanza. Hongera sana serikali ya awamu ya tano. 1
  • @
    @mahirwilliam5109منذ 5 سنوات Hatuna Shaka na uongozi wako mzee baba Jpm 3
  • @
    @josephnchunga1247منذ 5 سنوات Safi sana jpm hongera yani 2024 wananchi tunakutaka katiba ibadilishwe uwendelee na urais dar sana jpm
  • @
    @theophilukapinga2316منذ 5 سنوات If Africa should be having the Visionary Leader like Dr John Joseph Magufuli,since Independence, my friend I'm telling that today Africa should be rich and helping others 7
  • @
    @joasitz9559منذ 5 سنوات Safi sana Mwanza, kazi nzuri viongozi wetu. 4
  • @
    @jaffarmguwa5566منذ 5 سنوات The president used to say in his campaign before he became president that we are so late we are.not supposed to be where we because we are very rich but there some leaders who made us late so we have to work very fast for the development. and I voted him and I see his great job . I'm proud of him ....وسعت 8
  • @
    @kakawamashariki8978منذ 5 سنوات "Atendaye kazi kwa weredi,vinywa vingi vitamsifu toka pande za mashariki hata magharibi" 5
  • @
    @jonamnyone8014منذ 5 سنوات Kwa kweli hii ndio Tanzania tunayoitaka miradi kila kona 7
  • @
    @emmanuelmussa8331منذ 5 سنوات Mwanza mawe yote hayo bado mnajenga msingi wa tofali?
  • @
    @thomassamwel4815منذ 5 سنوات Uyondo jpm bana tanzania kama ulaya naiona kesho iliopangwa namungu piga kaz baba magu 10
  • @
    @hussainomar1849منذ 5 سنوات WASWAHILI WANASEMA UMARIDADI HUFICHA UMASIKINI.
    Tukiweza kujenga nchi yetu vizuri watakao kuja watakuwa makini sana
    5
  • @
    @lucassabida5471منذ 5 سنوات Ndugu zangu mkuu wa Mkoa na timu yako pambaneni nyie wote ni vijana hakikisheni hammumpi shetani nafasi ili baadaye watu wakasema si mnaona? Tulijua tu id="hidden4" class="buttons"> watashinda. Nkifanya vizuri tutaonekana sisi watanzania na vijana tuko vizuri ....وسعت
  • @
    @pujimontanapachino4958منذ 5 سنوات Haya majengo msipokuwa makini yatakuja kufunika watu hiyo kupeleka kazi fasta hili tu wapate sifa me nipo hapa mtaskia siku mnalia kilio cha paka shume
  • @
    @helderman2000منذ 5 سنوات "Sisi kama wanawake tumepata fursa ya kufanya ile biashara yetu nyingine" 1