Duration 1:29

DARAJA LAKATIKA WANAFUNZI WAGEUKA MATRAFIKI WAZUIA MAGARI KUPITA

80 watched
0
3
Published 2020/03/13

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini zimesababisha kukatika kwa daraja katika barabara kuu ya Rusahunga Biharamulo mkoani Kagera na kusababisha baadhi ya safari kukwama kwa watu wa magari yaendayo mikoani kutokea Bukoba.

Category

Show more

Comments - 0