Duration 10:14

MAMA MAARUFU MOSHI ANAENDESHA GARI LA KUBEBA MAITI WANAUME WANANIOGOPA

66 323 watched
0
249
Published 2019/02/25

Category

Show more

Comments - 92
  • @
    @johnmacha2194منذ 5 سنوات Good job Mama this is a spiritual mission. 1
  • @
    @minabw7301منذ 5 سنوات Duuh wabongo kwa kuogopa maiti!! Kuosha maiti, kumuandaa na kumsafirisha ni kazi nzuri sana tena ya kimungu na haitishi na wala huoti usiku. I never dream id="hidden1" class="buttons"> of the dead. Treat the body right, respect the dead and nothing will ever happen to you. When your time comes, remember you have family, strangers and
    friends that you treated well on the other side. They will welcome you with love
    ....وسعت 4
  • @
    @worldrapamako3960منذ 5 سنوات wakwa kucomment mkininyima like haa itakuwa roho mbaya nataka like 70 na me nijione star wa kesho jamani 54
  • @
    @hechihechie5558منذ 5 سنوات Uko vzr sana hongera sana sana!!!nimefurahia 8
  • @
    @margarethsaramaki1100منذ 5 سنوات Hongera dada Mungu akutangulie kwa kazi yako na akuepushe na balaa zote za njiani.Barikiwa sana 14
  • @
    @gitu4meمنذ 5 سنوات Safi sana huyu mama hodari
    Hizi ndo Habari safiii
    Nzuri umeanza kutuletea
    3
  • @
    @Views-mf8irمنذ 5 سنوات Go Mama Mcha .
    I told U wewe ni moja Kati ya Mama Wa Dhahabu sana.
    Mungu akubariki
    1
  • @
    @fortnataangelo4805منذ 5 سنوات Kama umesikia mwanamke amebeba Dunia, na unakubaliana, gonga like twende sawa, 14
  • @
    @azizasikalwani8432منذ 5 سنوات Nakupenda Dada Mungu akupe maisha marefu
  • @
    @mtaalamwamambo2099منذ 5 سنوات Alafu kuna mjinga mmja utasikia wakiona Wachaga wanafanikiwa wanasema ni Freemasons, pumbavu kabsaaaa ☝Wachaga hoyeeeee 14
  • @
    @gracetitus9963منذ 5 سنوات Hofu gani? Kama umezaliwa lazima siku moja utakufa. Watanzania acheni kuamini ushirikina na hofu zinzorudisha maendeleo nyuma. Hongera Grace, Graces are always strong women. . 5
  • @
    @mahmudasalum9557منذ 5 سنوات Dah.so emotional. Unabeba sku moja unakufa unabebwa ww kwny gar ioio
  • @
    @janempoki1709منذ 5 سنوات Penda wewe mama nipeni like bhas na mm!! 30
  • @
    @albertoarcangel5859منذ 5 سنوات Sawa kabisa dereva WA idara ya maji, mamaa nakupendag a sana mchangamfuu mno 1
  • @
    @worldrapamako3960منذ 5 سنوات wanaume awana ukame tuu watu wanabaka mpaka maiti ndembo itakuwaje wamuogope mama mbichi kama uyu 4
  • @
    @kavoomshana2413منذ 5 سنوات Namjua huyu mother alikuwa idara ya maji anapiga gear ile cruzer ni nomaa huyo. 1
  • @
    @agnesarch8436منذ 5 سنوات Hongera mom, Mungu akupe ujasiri na nguvu ya kufanya kazi yako,
    Ila mtangazaji unauliza maswali ya ajabu asee eti "fedha unayopata inakusaidia ktk maswala gani?" brother r u serious!?
    1
  • @
    @carolgasper2121منذ 5 سنوات Huyu mwandishi sjui alipitia usaili gani had kuajiriwa anarudia maswali yaleyale 3
  • @
    @janniehenry9589منذ 5 سنوات Asante mama ulimfikisha nancy wetu kyela salama kabisa 1
  • @
    @nkamangi4707العام الماضي Nimeendesha sana Victoria Funeral service ya home Moshi ukiendesha watu wanahisi mgaidii jamani hii ni service kama service zingine
  • @
    @liviaG87منذ 5 سنوات Millard Ayo huyu mtangazaji si wa kiwango cha Millard Ayo. Sijui umemtoa wapi 3
  • @
    @alexanderhaule7667منذ 5 سنوات Namjua hyu kwa wiki lazima nipishane nae hpa kcmc nikiingia chuo mara kadhaa 5
  • @
    @deodatusnchimbi7633منذ 5 سنوات wanaume wa dar atuwezi sisi izo vitu we pambana tu dada 5
  • @
    @hisanmwakijungu10منذ 4 سنوات Kilicho nivutia ni ilo shape. Mengine yoote ata
  • @
    @aminasalum1954منذ 5 سنوات Yote9 unamzigo dadaake balaa huo mshep nishida
  • @
    @angeljackson4329منذ 5 سنوات Unauliza maswali Kama unamuuliza mtoto wakati huyo ni mama na mtu mzima hebu uliza maswali yenye tija
  • @
    @stellanestory7022منذ 5 سنوات Unauliza stupid question 99.999999999999999999999%
  • @
    @bashiruhassani1017العام الماضي Uyu mtangazaji anauliza maswar ya kijinga
  • @
    @minabw7301منذ 5 سنوات Duuh wabongo kwa kuogopa maiti!! Kuosha maiti, kumuandaa na kumsafirisha ni kazi nzuri sana tena ya kimungu na haitishi na wala huoti usiku. I never dream id="hidden4" class="buttons"> of the dead. Treat the body right, respect the dead and nothing will ever happen to you. When your time comes, remember you have family, strangers and
    friends that you treated well on the other side. They will welcome you with love
    ....وسعت 4