Duration 5:16

Kauli ya waliouliwa watu wao Kangagani kuhusu kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

27 234 watched
0
137
Published 2020/12/07

Baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Kangagani ambao jamaa zao waliuliwa na vikosi vya serikali siku ya tarehe 27 Oktoba 2020 wanasema kwamba uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ni sahihi.

Category

Show more

Comments - 266