Duration 13:35

JINSI YA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA MPYA

122 119 watched
0
1.9 K
Published 2018/12/10

Kupata wazo la biashara yoyote mpya huwa changamoto kwa watu wengi sana. Na wengine wanapata mawazo lakini hawachukui hatua zozote mpaka mawazo hayo yanapotea tena. Sasa ungana na Ezden Jumanne katika somo hili akifafanua kwa undani juu ya namna gani unaweza kupata wazo la biashara yoyote mpya. . Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana. . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . WASILIANA NA EZDEN JUMANNE Voice-over Talent/ Content Entreprenuer Instagram: @ezdenjumanne Twitter: @ezdenjumanne Facebook: Ezden Jumanne Phone: (+255)759 191 076 Website: http://tinyurl.com/voiceovertanzania . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: . HAMASA YA LEO👇🏽 /hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 /channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 https://tinyurl.com/matangazo . VOICE-OVER WEBSITE 👇🏽 https://tinyurl.com/voiceovertanzania . JIUNGE NA GROUP LETU LA VITABU TELEGRAM (BURE): Moja kwa moja bonyeza Link hii: https://t.me/spnbookclub . KUPATA MATANGAZO: - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii. - Unahitaji Voice-over (English & Swahili). SIMU: (+255) 759 191 076 EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com . . #wazo #la #biashara #mpya

Category

Show more

Comments - 521