Duration 3:12

WAZIRI UMMY MWALIMU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITAL YA RUFAA KANDA YA KUSINI.

426 watched
0
11
Published 2020/07/01

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu aridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa hospital ya rufaa kanda ya kusini, Ummy amesema kuwa kufikia uchaguzi hospital hiyo iweze kufanya kazi kwani haitakuwa vizuri watu wa kusini wakienda Dar es Salaam kwa huduma madaktari bingwa. Mradi huo umegharimu Tsh bilion 15.8

Category

Show more

Comments - 2