Duration 16:17

GHAFLA RC DAR AKINUKISHA BANDARINI/WEWE NI TATIZO/NITAKUWEKA NDANI SASAHIVI

11 460 watched
0
62
Published 2020/10/23

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam kufuatilia kinachokwamisha kutoka kwa kontena zenye Vifaa vya ujenzi wa Stendi ya kisasa Mbezi Louis ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli alietaka ujenzi wa Stendi hiyo kukamilika kabla ya Novemba 30 mwaka huu. Katika ziara hiyo RC Kunenge amebaini udhaifu wa kiutendaji wa wakala kutoka kampuni ya Amazon General supply service na ushirikiano usiojitosheleza miongoni mwa Taasisi za umma zinazohusika kwenye mchakato mzima wa utoaji wa Mizigo bandarini.

Category

Show more

Comments - 31