Duration 11:16

Lainisha Nywele Kwa Urahisi Na Flaxseed Gel

4 025 watched
0
64
Published 2020/09/16

Hey loves! So tunaanza kwanza na unyevu routine. Baada ya kupitia dhoruba kama yote, mfumo wangu mzima wa utunzaji nywele umebadilika kabisa. Katika kutafuta suluhisho la unyevu hasa wakati wa Corona, nilikutana na film-forming humectants ambazo ni gel zitokanazo na mimea kama #flaxseeds #aloevera bamia, oats n.k. Gel hizi hujenga utando kwenye nywele na hivyo kuzuia unyevu kutoka kwa haraka kwenye nywele. Unaweza kuzipaka moja kwa moja kama hivi ninavyofanya mimi au ukatumia bidhaa zenye gel hizi kama mojawapo ya viambata vyake. Unyevu ni msingi muhimu sana katika utunzaji na ukuzaji wa nywele zetu kwani nywele kavu ndio hukatika na kupelekea dhana ya kwamba nywele zetu hazikui. Vilevile kutokana na hali iliyonikuta ya kunyonyoka nywele kwa wingi, ilibidi nihakikishe nywele zangu zina unyevu wa kutosha ili iwe rahisi kuzishughulikia bila kuzing'oa zaidi. _______ ► Music Credit: LAKEY INSPIRED Track Name: "Blue Boi" Music By: LAKEY INSPIRED @ https://soundcloud.com/lakeyinspired Original upload HERE - /watch/vkuAwkA ... Official "LAKEY INSPIRED" YouTube Channel HERE - /channel/UCOmy ... License for commercial use: Creative Commons Attribution 3.0 Unported "Share Alike" (CC BY-SA 3.0) License. Full License HERE - https://creativecommons.org/licenses/ ... Music promoted by NCM https://goo.gl/fh3rEJ

Category

Show more

Comments - 32