Duration 10:19

SIRI NZITO CHANZO CHA MOTO SOKO KUU LA KARIAKOO HII HAPA, MASHUHUDA WANENA WAZI KISA CHA MOTO

65 491 watched
0
167
Published 2021/07/11

#sirizabongo Kutoka hapa Kariakoo, Dar es salaam muda huu, Soko Kuu la Kariakoo linateketea kwa moto, bado chanzo hakijajulikana na tayari Vikosi vya Zimamaoto na Uokoaji pamoja na Vyombo vingine vya usalama vinaendelea na shughuli za kuzima moto huu ili usilete madhara zaidi.

Category

Show more

Comments - 37