Duration 5:12

Mwenyekiti CHADEDMA Freeman Mbowe asomewa mashtaka upya

1 249 watched
0
8
Published 2021/08/06

#KesiYaMbowe Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeendelea leo katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam, baada ya hapo jana kuahirishwa kutokana na hitilafu za teknolijia ya mahakama kwa njia ya video

Category

Show more

Comments - 0