@DottRoBrمنذ 3 سنواتI am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous id="hidden1" class="buttons"> president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty ....وسعت11
@
@uwezo86منذ 5 سنواتMy Fellow Tanzanians, let’s support our President. 14
@
@bigdreamer8857منذ 3 سنواتWanaotazama kazi za huyu jemedari wakati yupo mwanza kuagwa nipe like zoote,.. R.I.P our president 48
@
@geopolitics94منذ 3 سنواتWe will forever miss you President JPM 5
@
@alphachanneltz2668منذ 3 سنواتLala salama magufuri Nione like za kamanda wetu R.I.P 36
@
@jumakapilima7295العام الماضيA real man that was very patriot to his country!! RIP 2
@baloziwairamba7945قبل 4 أشهرAnayeangalia hii Video Dec 23/2023 plz like hapa 2
@
@gitiganiibrahimdanhi7692منذ 3 سنواتTutakukumbuka Daima Mzee Magufuli ulisimamia ukweli na hukutaka kuyumbishwa na mtu yeyote. Rest easy our Hero JPM ♥️♥️♥️ 15
@
@carubryant6471منذ 3 سنواتjamani nipo apa 2021 an dah naumia sana 13
@
@claramhina9605منذ 3 سنواتDa Mungu hii Damu ispotee bure usikae kimya. Alikua anapenda Watanzania Siku nyingi 7
@
@saimonpeter3788منذ 3 سنواتUtabaki kuwa rais wangu milele we baba ulale Salam mpendw 15
@
@josephatkiliko2546منذ 3 سنواتPumzika Kwa amani Dk John POMBE JOSEPH Magufuli Mungu Akupe pumziko la milele. 6
@
@RD-ml7piمنذ 3 سنواتMungu akulaze mahari pema pepon msema ukweli,mchapa kazi mungu akutangulie 5
@
@kishimbamusic5116منذ 4 سنواتAmbaye anafuatilia 1 Julai 2020/shughuli za Magufuli Alisa waziri was ujenzi. Gonga like. 5
@
@salarytz6911منذ 5 سنواتMh rais weng wetu tumerud ccm kw ajir yko hongera sana 21
@
@marcodominico9503منذ 5 سنواتNDO MAANA HUWA TUNASEMA MTU UWA HAFI MOJA KWA MOJA. AKIFA HUWA ANA KUWA CONVERTED KWA NJIA NYINGINE. " NYERERE IS BACK " 5
@
@idrissapetro6515منذ 5 سنواتWewe Rais tulikutarajia Hawa kunguni wanaongata makario Yao acha waendelee wewe chapa kazi mungu akulinde 12
@
@hamismbotoni5531منذ 5 سنواتHapo tu ni wazir angalia anavyo jituma wanao muona anatumika madalaka vbaya watakuwa wanamkosea sana yy ndio utendajiwake huwo apend kuleta siasa kwenye ukwel yy kaz tu 6
@
@mariethapesha2845منذ 8 سنواتmweshimiwa jpm we nikiongozi2 hakuna mwingine uko juu big up kwakweli 8
@
@lawrencem3682منذ 9 سنواتkiongozi bora huletwa na mungu,huyu mzee nimzalendo,pia nimkali sana. kwahapa tulipofika tanzania tunahitaji rais wa dizaini hii,umenishawishi na kura yangu ikuongezee ushindi JPM 32
@
@williamenos7641منذ 6 سنواتUlitisha na unaendelea kutisha ntaendelea kuangalia YouTube kazi zako za nyuma 11
@
@olaislukumay2208منذ 5 سنواتHuyu jamaa anauchungu na nchi hii Mungu amlinde 4
@
@smstore5535منذ 3 سنواتDahsidhan kama tutapata jembe kama dk magufuli tena. Alikua na upekee wake.. Mungu amlaze mahali pema ameen!! 4
@
@anthonykusita7102منذ 7 سنواتRais J.M.P nimzalendo wa ukweli Tz sijawahi kuona kwa kweli kwa sasa. 13
@
@yohanamaiga3031منذ 7 سنواتyou deserved to be a president Dkt. Magufuli 11
@
@johnpesambili4806منذ 5 سنواتKabisa hii ni zawadi ya watanzania kutoka kwa mungu. 6
@
@jumakapo9914منذ 5 سنواتKweli baba mungu alikuteuwa uwe mkweli na mkombozi wa Tanzania Tanzanian owe 4
@
@mjubaمنذ 5 سنواتNajua wew ni jembe la kazi na ndo maana nilikupa kura yangu 3
@
@martinswai8031منذ 3 سنواتPumzika kwa amani JPM. Umefanya kazi kubwa nchi hii 4
@
@msafiriabdallah7648منذ 9 سنواتJPM waonyeshe jinsi ya kufanya kazi mawaziri utakaowachaguwa! 14
@
@nuhakamgisha3505منذ 6 سنواتndo maana nilimpgia kura.cz alionekana before..mungu azidi kumbariki raisi wetu 5
@
@geraldjacksonmasalu4989منذ 9 سنواتmabadiliko ya kweli yanatoka kwa magufuli. Sina shaka na ww pia kura yangu umeipata. 11
@
@edwardedward2520منذ 7 سنواتmh. jpm mungu aendelee kukulinda una moyo wa dhati kuleta mageuzi ktka taifa. 7
@
@allymkwepu7949منذ 5 سنواتMzee huyu ana uchungu xana na hii nchi 5
@
@tzkwanza3861منذ 6 سنواتjpm nakuibiya Siri njoo kwenye barabara ya mtwara Tandahimba yani uone vituko uku 7
@
@chrismutisyaمنذ 8 سنواتImagine.wakati huu Dkt. Magufuli alikuwa tu waziri 24
@
@frankvianey2438قبل 2 أشهرAisee kumbe mzee alianza ukali na ufuatiliaji wa mambo zaman sana
@
@gideonkalumbu5220منذ 4 سنواتHuyu ndiye Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli tumsaidie huyu ndiye Rais wetu. 3
@
@davidmihambo3051منذ 7 سنواتis the best leader ever but is it 30 ft or 30m road reserve ? 3
@
@margarethsolomon9823منذ 3 سنواتBaba ulikuwa mwamba hata kabla ya kuwa Rais. Nilikukubali ndani ya moyo wangu. Rest in peace daddy., 3
@
@petromwamlima4120منذ 9 سنواتTuache mbwembwe, huyu ni kiongozi bora. anae bisha sitaki ubishi wakati you tube ni watunza kumbukumbu anagalia mwenyewe. waziri gani amejituma class="buttons"> kama yeye Mh. Magufuli? Amefanikiwa kuninasa na kura yangu ameinasa pia, nimejiridhisha na utendaji kazi wake ....وسعت42
@
@hojajmagingila1099منذ 6 سنواتMawaziri wa sasa, hebu jaribuni kufuatilia clip za Mh. Rais Magufuli akiwa waziri. 9
@
@daudimlamka1239قبل 2 أشهرHe was a pure African who loved his continent with her people
@
@man.lule.585منذ 5 سنواتKikwete mwenyewe alimpa jina lá tingatinga gurubosa huyu mheshimiwa anamisimamo ya kuitakia maendeleo Nchi yetu ya Tanzania tangu akiwa Waziri. 3
@mangegervas9651منذ 5 سنواتRais saaafiii mno. Angekuwa China angenyongwa
@
@temkezatv4381منذ 5 سنواتTanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden5" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت1
@
@mamlee7983العام الماضيAlikua mtu wa kazi kweli lkini shida alokua nayo ni ukatili na uuwaji hakutaka kukosolewa
@
@hassanlamata2312منذ 3 سنواتNimefatilia crip nyingi sana za Magufuli amin nawambia huyu mtu hakuwa mtu wa kawaida aliandaliwa na allah hakika kwanza hajawah acha kuvaa beji ya africa kwenye koti lake la suti kama alivyokuwa gadafi 1
@
@furahafedrick8501منذ 4 سنواتTbc muwe nakipind maalumu chukuen krip zake toka nyuma akiwa wazir watu wajifunze cyo mpaka mtu afe ndo mwanze kutuwekea maklipu nawaombeni 3
@
@tzkwanza3861منذ 6 سنواتnjoo kwenye barabara ya mtwara Tandahimba uone vituko wameanza kujenga nyumba zao za kukaa Na bati juu zimeaza kuingia kutu bado barabara aijaisha 4
@
@loner_wolfمنذ 3 سنواتMm natazama akiwa hatunaye tena. hawa watu wa aina hii wapo wengi sana nchi hii ILA kuwapata ni kazi sana kutokana na mfumo wa kujuana uliokithiri id="hidden7" class="buttons"> nchi hii. Hawa watu huzaliwa hivyo kama walivyo wala sio kitu cha kufundishwa au kuadopt, when you adopt things, later on tends to filter out and things remain same. But huu mwamba ukianza kazi walisema nguvu ya soda, baadae wakakubali, wakasema vyuma vimekaza, baadae wakazoea wakafurahia maisha, wakasema atapoa, yeye akazid kuchemka tu mpk wakawa wanaomba poh. Hizi ni karama mtu anazaliwanazo.MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI DR JPM ....وسعت1
@
@thomasmartinez786منذ 2 سنواتTuendelee kupata madini 2022✅️✅️ like hapa
@
@mangegervas9651منذ 5 سنواتKumbe kutoka zaman ulikuwa c mbabaishaji!!! 1
@
@neymamchau7311منذ 6 سنواتJamaa uyo alieshika cm simuelewi anampa lais cm au anamrekon mbona hana heshima 4
@
@paschalsamwel5921منذ 5 سنواتNajivunia kuwa Na Rais anayepigania maslahi ya watanzania,hakika watanzania tupo nyuma yako Mh Rais Magufuli. 5
Nione like za kamanda wetu R.I.P 36
Rest easy our Hero JPM ♥️♥️♥️ 15
Amefanikiwa kuninasa na kura yangu ameinasa pia, nimejiridhisha na utendaji kazi wake ....وسعت 42