Duration 12:35

MAGUFULI- Hili daraja ni baba lao, hatuwezi kusubiri hadi 2024

41 530 watched
0
223
Published 2020/12/28

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Disemba 28, 2020 akiwa njiani kutokea Ikulu jijini Dodoma kuelekea nyumbani Chato mkoani Geita, amepita kujionea ujenzi wa daraja la JPM katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza na kutaka kazi kufanyika usiku na mchana ili kukamilisha ujenzi wa daraja hilo refu Afrika Mashariki na Kati. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 59