Duration 4:50

ACT-WAZALENDO: HATUBABAISHWI NA DKT.MWINYI/MGOMBEA MWEPESI KWETU/MAALIM SEIF ANASHINDA MARA ZOTE

14 059 watched
0
57
Published 2020/07/10

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimejipanga vyema kuibuka na ushindi wa kishindo katika nafasi ya Urais visiwani Zanzibar na kwamba hakibabaishwi na mgombea wa Chama cha Mapinduzi aliyepitishwa na halmashauri kuu ya chama hicho Jijini Dodoma leo,Dkt Hussein Mwinyi.

Category

Show more

Comments - 25