Duration 11:34

Sikujua HARMONIZE atafanya vile,sijapenda,alinitumia meseji,namkubali DIAMOND Pacha wa DIAMOND

211 803 watched
0
1.8 K
Published 2020/11/09

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #pachawamondi

Category

Show more

Comments - 555
  • @
    @seducerkapero7306منذ 4 سنوات Ahahaha unajua mi nimeangalia hii video uku nacheka sababu (1.)huyu jamaa ametumika (victim)ilikuwa ni vigumu sana kujua tatuu alizocholwa za diamond yeye id="hidden1" class="buttons"> si mwandani wake(2)ni shida zake ndio zimemfikisha kwa hamonizer,kusema kwanini asikatae jiulize pia kwanini asikubari ili hali anashida na pesa na ajavunja sheria,yeye ni yeye na hana mkataba na diamond,(3)lakini pia kuna faida gani kuwa na mwili kama wa diamond na usiutumie kama diamond ahahah.nikirudi kwa hamo na ndio maana nacheka "HARMONIZER HAS LEARNED FROM THE BEST"mwanafunzi saanyingine umpita mwalimu,hii ni cut&paste amini nakwambia if the table could turn diamond pia angefanya ivi kwa harmonizer na ndio maana amtakiwi kupanic hapa ndipo bongofleva ilipotufikisha,tusubiri tuone diamond atakuja na nini.lakini pia I MUST ADMIT KWAMBA HII STUNT IMEFANYIKA KWA UTAARAMU WA HALI YA JUU NA KUSEMA KWELI MIMI NIMEIPENDA.KWA SABABU KUBWA MBILI.(1)DIAMOND MPYA ATAPATA POPULALITY/PROMO ZAIDI THANKS TO HARMONIZER (2)HARMO AMEFIKISHA UJUMBE KAMA ILIVYOKUSUDIWA. NA NISEME UJUMBE UMEFIKA NA TUMEAFIKI YOTE(MANENO/SCENE)INAYO MUHUSU DEAR MOND.IKO SAWA ....وسعت 1
  • @
    @theonecrew4970منذ 4 سنوات Middle simba upo vizur sanaaa aisee kuhoji big up bruh 19
  • @
    @tutakusaidiakupatagari8831منذ 4 سنوات Midle simba ni PROFESSIONAL, mtu mwenye kitabu chake kichwani utaskia tu aina ya maswali anayouliza. NAKUKUBALI sana bro. NAKUONA millardayo mpya na nidham zako pia. 26
  • @
    @boasmbwaga8362منذ 4 سنوات Amenizingua sana uyo mwamba ametuchafulia sana teem mond 36
  • @
    @dianamushi3793منذ 4 سنوات Middle nimependa unavyo endesha interview. Vizurii kabisaaa,,,,,,,,,like kadhaa hapaaa 3
  • @
    @luqash_luqman9744منذ 4 سنوات Bila diamond No trending shikamo baba abduly nasib mwanao kibaoo 18
  • @
    @kakakilipuzi9897منذ 4 سنوات Huku kenya tunamtambua sana diamond platinumz simba ni simba tuu 4
  • @
    @harbonbwoy6322منذ 4 سنوات Like za middle simba kisha slide kwa YouTube channel ake 32
  • @
    @yohanajaphet3628منذ 4 سنوات Yan harmonize ujui tu we ndo mshamba umetukosea sana team mond poooleee 4
  • @
    @xmark0609منذ 4 سنوات Team diamond kutoka Mombasa mko ebu kwa lyk 1
  • @
    @jackdopeمنذ 4 سنوات Jama hana shida, Illa wame mtumiya pasipo kujuwa, yeye ni shabiki wa mondi, alicho fanya harmo si powa 85
  • @
    @wesleysanja3265منذ 4 سنوات Harmonize has proven Diamond is Ruling music with higher brain .the rest Kama kina harmonize let them fight with small boys 13
  • @
    @meshackkangwe3414منذ 4 سنوات We jamaa mshambaaaa kama inavosema hiyo nyimbo sauti ya kishamba huwezi fanana na 3
  • @
    @luhajufilmstanzaniaمنذ 4 سنوات Harmonize kabug Sana. Akumbuke alikotoka. 25
  • @
    @rukumannelson2372منذ 4 سنوات Middle Simba nakubali Sana professional huwa nafatilia Sana kaz zako upo makini Sana kaka natama siku moja nikuone live hapo ndoto yngu itatimia
  • @
    @petarnjoole7859منذ 4 سنوات Kuna kawimbo nakuo utaki kunitajia jina 8
  • @
    @eddyboycharming2474منذ 4 سنوات Nimependa uliposema msanii mkubwa hapa east africa l like that 3
  • @
    @nevermugisho5851منذ 4 سنوات Nikweli kabisa jama.hana shinda ila Sisi uko Congo tuna mupenda sana
  • @
    @alhamdullilla5108منذ 4 سنوات Hamufananeeee ila unaji force mufananeeeee Diamond mzuriiiii mashaallah
  • @
    @suleymoo967منذ 4 سنوات Mtangazaji jifunze kuuliza maswali , Hebu angalia swali lako la ety , Tangu uko mtoto hebu fikiri huyo jamaa tangu yuko mtoto diamond pia alikuwa sio mtu anayefahamika atafananishwaje ???? 13
  • @
    @shafeeshafee8613منذ 4 سنوات Middle simba nimegundua ww unakauonga flani ivi kakumuoj mtu sijui sababu uoj oji watu ila kaz mzr nakukubal❤
  • @
    @bwiseasukulu3391منذ 4 سنوات Sio eti alikua ajui akipenda yeye aache ujinga wake 4
  • @
    @zubemiloneamohamedizahera6231منذ 4 سنوات Harmonize amekosea sana wallah mhmhmhmh ama kweli rafiki wa leo ndio adui wa kesho wallah 7
  • @
    @alexkazimoto7059منذ 4 سنوات Jamaa mwshon kaongea point xna mm nime msamehe 16
  • @
    @barakaisack1238منذ 4 سنوات Yan middle nakubali Sana uchambuzi wako na interview zako kila unachokipost huwa nakiamini kwa 100percentage 6
  • @
    @ivaniavianarodrigo7201منذ 4 سنوات harmonize, kamrubuni huyu jamaa, naamini wangemtaarifu asinge kubari, harmonize sio mstaarabu kamshuti alafu kwenye kuediti hajamuambia, konde sio mtu mwema, pole mimi sikulaumu pacha mondi!!. 14
  • @
    @andrewjulius3951منذ 4 سنوات mbn ivo zimekua nyingi sana kuliko mahojianoo""!; 6
  • @
    @devisekadesh5413منذ 4 سنوات Pole xana kwa kutumiwa kuaribu jina la mwingine
  • @
    @ambrosemillanzi2208منذ 4 سنوات Simba Vs konde boy Wote ni artist from East Africa Sir.GOD Bariki Kazi zao
  • @
    @princemwaifunga8151منذ 4 سنوات Huyu jamaa tunamfungulia kesi anatumia jina LA MTU aliloliangaikia kulipa title 2
  • @
    @bernardchibwana9411منذ 4 سنوات Harmonise mshamba sanaaa!!, na wimbo kajiimbia mwenyewe mshamba
  • @
    @user-xi1pi4zr3bمنذ 4 سنوات Huyu jamaa hana ubaya wwte pande zote mbili, Njaa ndio ilimpelekea kufanya ile kaz ya Harmo Lakn rizki popote yuko sawa. 19
  • @
    @ezapesambili2130منذ 4 سنوات Hivi lini Middle simba atangizwa kwenye category za mtangazaj bora tummwagie vote za kutosha? 2
  • @
    @salmakhasim1827منذ 4 سنوات Sawa Kaka umeongea tumekuerewa uyo mmakonde yeye atacherewa kutaka Kiki kupitia mondi bado mondi ni babalao a take asitake afanye mziki bira kumtupia vijembe mondi a one kama a tapata jam lawatu Tena unapotea ‍♂️ 3
  • @
    @ashura.burundixhxhx70منذ 4 سنوات Pole sana kak ila harmonaizi ajuwe kama simba na bab laooo
  • @
    @dyanamotzمنذ 4 سنوات huyu jamaa muongo mpaka bc maelezo yake ya interview yakwanza na zingine tofauti kabisa 8
  • @
    @tryson4292منذ 4 سنوات Kukuokolea time,main point imeanza kuongelewa dakika ya 1
  • @
    @osmanmohammedosman5493منذ 4 سنوات Sema mwamba haelewi maswali na kujibu ni shida!! 32
  • @
    @nellynguzo5503منذ 4 سنوات Harmonize amezingua xn , nadhan anatafuta kiki video iende 4
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 4 سنوات Yani walimficha alafu hamonaiz hakujitokeza akajulikana hiyo nimipango walipanga timu nzima walimpeka kinyume 4
  • @
    @xtarkidz5923منذ 4 سنوات Jamani ni navyojuwa huu ni mpango wa harmo ili ngoma yake iongelewe izidi kutrending 1
  • @
    @khamishussein3502منذ 4 سنوات Yani uyu kajialibia hatokutana na mondi miaka miwili mbele 20
  • @
    @hamisichuma6982منذ 4 سنوات punguzeni mapovu wadau simba mwenyewe ajapaniki wewe unafoka we kama nani uwo niushamba wadau 7
  • @
    @eviepretty2646منذ 4 سنوات Daah!! et tutajie jina unalotumia kutafutia ugali middle bana 2
  • @
    @hidayaabubakary8250منذ 4 سنوات Shukuru mungu umeoshanyota wewe boya ungeonekana sangp umeuza sura sana embu tuachie konde boy wetu ushakula pesa wewe tulia tu
  • @
    @ashirievara8542منذ 4 سنوات Amakweli kuishiwa kubaya san yani uyo sas hiv anaimba 1
  • @
    @idid8155منذ 4 سنوات Msimlaumu jamaniii anatafuta zake jisi yakupata Ugali 1
  • @
    @danvasco4430منذ 4 سنوات riziki mafungu saba, boy atafuta unga tu basi, +254 Kenya 1
  • @
    @yothamshoppingcenter9945منذ 4 سنوات Yani we Mimi Nita kutafta Nita kulipa unyowe kila kitu mjinga Sana we 1
  • @
    @amisindondi4549منذ 4 سنوات Kwani ww middle simba si mulimchokoza wenyewe harmonize WCB MULISEMA KAMPENI ZIMEISHA MTAPATA WAPI HELA YA MATUMIZI.yy amewajibu isiwaume 4
  • @
    @tonyshineafrica8278منذ 4 سنوات Anajiitwa ndo nn kama umesikia hvo like twende sawa
  • @
    @zou7470منذ 4 سنوات Uyu kaka alitaka kiki mana anaongea mambo mengi tafauti mim nimeangalie sehemu apa kwa middle simba ni sehemu ya tatu so anaco kiongea uko nitafauti nalico kiongea apo so sijuwu tuamini ukwel upi apo‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️ 6
  • @
    @mohamedyally570منذ 4 سنوات Maskini pacha daaaah wamemshambisha kizembe 3
  • @
    @Agnes-qq4npمنذ 4 سنوات Uyo jama amesha jiaribia sasa afazali angebaki upande moja kwa mondi hatofanikiwa kukutana nae kwa harmonize kajiaribia tena 1
  • @
    @stanslauselias9002منذ 4 سنوات Umepotea mwana tayali tulikuwa tunakukubali ila kwa sasa umekunya mwenyewe ulilolitafuta utalipata labda ulidi kigoma ila umesha haribu tayali 1
  • @
    @BongoPlatformTvمنذ 4 سنوات Yani huyo hakujua pia yy karekodiiwa tu kipande hapo hajaambiwa kama ni ishu ya hamonize. Dah mildesimba yaani kwenye interview ya leo ni kali cjawahi kukubali ila Leo big up sana.
  • @
    @josephvenus3259منذ 4 سنوات Kaka wala usijari, Hamoniz analo litafuta atalipata tu. Huwezi kumdisi na kumdharirisha mtu aliye kutoa matopeni na kukufanya uwe nadhifu tena wakuheshimiwa id="hidden10" class="buttons"> hata na jamii nzima. Dah! Ule usemi wa mfadhiri mbuzi. binadamu. hapo ndipo unaujua maana yake. Namwomba sana Daimond asijibu kitu. ....وسعت 5
  • @
    @abdybenyedah1652منذ 4 سنوات Jamaa nimemkubali mwisho.
    Yaan ameongea point Katk mazungumzo yote toka mwanzo
  • @
    @maryamzaydowino5898منذ 4 سنوات Kumbe diamond ni mhandsome,see your twin then no how physically well you are 1