Duration 5:18

BREAKING: MAALIM SEIF ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA RASMI

10 686 watched
0
66
Published 2020/01/30

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 74
  • @
    @mwatumsaidi5104منذ 4 سنوات Mausha unapata lakini madhalim ccm wanatumia dola kuzulumu Alaisallah bihaakamil hakimin 5
  • @
    @rizikisalum9678منذ 4 سنوات Kura yangu ishaallah yako baba panapo uhai na majaliwa 3
  • @
    @muhsinnainoabdullah1539منذ 4 سنوات Hongera jembe letu kura yangu unayo baba hatuchoki kukupa kura zetu Kwa sababu wewe ndio chaguo la wazanzibar wanokubeza awo ni wazanzibara Kwa iyo sisi wazanzibara tunakujali na tunakuelewa baba 1
  • @
    @iddijumaali7192منذ 4 سنوات Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia 100 INSHALLAH 4
  • @
    @allydaruweshi5983منذ 4 سنوات Tutakuchaguw baba tupo naww hakun kukat tamaa 3
  • @
    @mtitimtiti376منذ 4 سنوات The day will come Zanzibar to be Free Zanzibar 3
  • @
    @hamzaalonso6115منذ 4 سنوات Naam maalim bado tunakuhitaji na ishallah huu ndio mwako wako wa kuingia ikulu imarishine chama 3
  • @
    @amrozwhite1073منذ 4 سنوات 2020 itapigwa goli la wapi marahii sema mwenyewe malim sef
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Apo cha-cha ,jembe limepata mpinj ,wa mpingo 1
  • @
    @shabania333rajabuمنذ 4 سنوات Pumzika mzee mwezangu huoni umri umekupita 1
  • @
    @khadijaa815منذ 4 سنوات Si muvunje tu vyama vingi ibaki ccm tu yeshe 1
  • @
    @chidiboy5815منذ 4 سنوات Wpi inshaallah ccm itashida kura yngu naipa ccm 1
  • @
    @mudhihirramadhan5387منذ 4 سنوات Duuuu hujachoka tu toka mwaka 199? mpaka leo 2020 bado hujakata tamaa
  • @
    @ramdanram7387منذ 4 سنوات We mzee pumzika tena hivo ulivyo bado unataka uongozi ni bora utulie mzee ulee wajukuu achana na mambo ya siasa 1
  • @
    @kassidpandu9806منذ 4 سنوات Duu mzee huna aibu chama hakina vijana?
  • @
    @haidaromar2079منذ 4 سنوات Yaaan huy jamaa hakat tamaaa hiiii pole san ndung but ccm oyeeeeeeee. 1
  • @
    @suleimanally2397منذ 4 سنوات KYEFULE unataka kufukuzwa chama Zito mfukuze huyo
  • @
    @zayyatiyussuf9566منذ 4 سنوات Kura yangu naipa ccm chama cha Ccm kidumu na 2050 kidumu 3
  • @
    @mhogomchungu7168منذ 4 سنوات huyu mzee anatamaa kama fisi. Wazanzibari tuchague CCM tupate maendeleo
  • @
    @assleeali2302منذ 4 سنوات Maalim saiv kaa upande unazingua sana tushachok na wewe.mamuzi yako ni ya uongo mtupu 2
  • @
    @tumabhay8576منذ 4 سنوات Kakojoe ukalale weee balahau huna chama huna sera huna kura huna madaraka. Ucpoteze muda bado unatamaa to nyangarikata pori wewe ushazeeka umebakia kichwa id="hidden3" class="buttons"> kama tako la mwanga. Hebu angalau pisha wengine wagombee wee tena kapumue ujambe. ....وسعت