Duration 15:53

Diamondplatnumz alivyoondoka na Kijiji Mbagala kwenye tukio la wese la wasafi

154 watched
0
0
Published 2021/01/21

Tazama namna watu walivyojaa wakati wa kutoa mafuta kwa madreva wa boda boda na bajaji, tukio lililofanywa na Wasafi Fm wakishirikiana na Diamond Platnumz, Mboso Khan, Mabantu, Khadija Kopa na Dulla Makabilla kutokea Mbagala Zakhem

Category

Show more

Comments - 0