Duration 2:48

MKURUGENZI WA UTAFITI UZALISHAJI MISITU TAFORI, DKT.BAKENGESA AFANYA ZIARA BANDA LA TFS

Published 2023/08/09

Mkurugenzi wa Utafiti Uzalishaji Misitu TAFORI Dkt. Siima Bakengesa Amefanya ziara yake Banda la Maonesho TFS pamoja na TAFORI na kuipongeza kwa hatua nzuri waayoifanya katika kuimarisha sekta ya utalii wa ndani na huduma wanazotoa katika Misitu na Nyuki.

Category

Show more

Comments - 0