Duration 2:47

DK TULIA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI, UCHAGUZI CCM JIMBO LA MBEYA

22 613 watched
0
77
Published 2020/07/20

DK TULIA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI, UCHAGUZI CCM JIMBO LA MBEYA Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson ameibuka kidedea kwa kishindo kwenye kura za maoni baada ya kupata kura 843 sawa na asilimia 96%. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 30
  • @
    @khamiskasulwa8131منذ 4 سنوات Hongera sana Dr. Tumefurahi sana kwa ushindi huo na sasa imebaki kukupa Jimbo tu, na tunakupa 3
  • @
    @malingazeboss9351منذ 4 سنوات Tulia hawez chukua Jimbo la mbeya labda akagombee majimbo yaliyo jaa mashoga lakin kwa mbeya town tulia hachukui kiti.
  • @
    @evansmlalo4049منذ 4 سنوات Watu wa Mbeya mkiuza jimbo CCM mimi nitawashangaa sana. Dunia nzima lazima kuwe na vyama vya upinzani ili Serekali iliyoko madarakani ifanye kazi.
  • @
    @rashidiwhite5646منذ 4 سنوات Nyiee ccm nyiee sio kila milango mnayopanga owe hivyoo wanambeya tulipotee sugu lila kituu hapo snache kubuluzwa kama wayao wameshindwa kupeleka lami hata hosp polis,bomani hata kwenye ofisi yako ya ccm duu 1
  • @
    @teddykanondo5753منذ 4 سنوات WWatanzania bwana wa ajabu sana. Watu wa Mbeya jimbo lenu abaki kuwa "SUGU" acheni kununuliwa na CCM.
  • @
    @mohamedjeizan5929منذ 4 سنوات Wambeya wasipo kuchaguwa kwenye uchaguzi mkuu watakuwa wamepoteza bahati ya mtende 1
  • @
    @georgembilinyi2824منذ 4 سنوات WE KAMA MAMA YANGU ENDELEA NA MAMB MENGINE AU KUMSAIDIA MMEO BAADHI YA MAMBO NYUMBUNI HAPA MBEYA AKUNA WA KUMTOA BRATHER SUGU.SUNGU MBEYA KAMA RAIS WETU
  • @
    @eddynyaki5539منذ 4 سنوات Ashukuriwe Mungu! Hongera sn mbunge mpya ajae wa mbeya mjini Mungu azidi kukujakia afya njema