Duration 12:30

JINSI YA KULINDA FURAHA YAKO ISIPOTEE

15 463 watched
0
459
Published 2020/08/17

JINSI YA KULINDA FURAHA YAKO ISIPOTEE Furaha inaweza kuwa chanzo cha wewe kufanikiwa. Kwani hata kichwa huweza kufanya maamuzi mengi mazuri katika utulivu ambao furaha yaweza kuuchangia kwa kiasi kikubwa. Unaweza ukawa na furaha, lakini ikawa vigumu sana kudumu na furaha hiyo. . Vilevile ni rahisi sana kuipoteza furaha kama ilivyo rahi kuanguka toka mtini lakini ni vigumu sana kuipata furaha furaha kama ilivyo kupanda tena juu ya mti kwa speed uliyoangiuka nayo. . Katika somo hili Ezden Jumanne atakufungulia uelewa juu ya namna gani unaweza linda furaha yako isipotee. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Linda #Furaha #Isipotee

Category

Show more

Comments - 43
  • @
    @pascalmosha4193منذ 4 سنوات Pia kingine ezden kujitambua binafsi na kujua madhaifu yako binafsi Na yawatu wakaribu sana. 3
  • @
    @frankmassawe8752منذ 4 سنوات God bless you sana broo kwa mafundisho yako tangu niijue channel hii I'm so happy na nafanikiwa zaidi nnapoyafanyia kazi uanayoyafundisha hakika Mungu andelee kukufunulia zaidi vitu vipya amen. 2
  • @
    @amarislam1589منذ 4 سنوات Mashaalah somo safi sanaaa.nimejifunza mengi.barakallahufik. 1
  • @
    @mariamomar8244منذ 3 سنوات Like a communication skills book, business skills and problem solving skills
  • @
    @abuuasha2959منذ 4 سنوات ماشاء الله عليك زادك الله علما نافعا إننا نئخذ منك معلومات كثيره 1
  • @
    @aimeekungwa2701منذ 3 سنوات Asante kakayangu ndajitaidi na Mina Amini yata ni saidiya Sana, aksanti kwa somo nzuri
  • @
    @hassanovajunior6972منذ 4 سنوات The SECOND and FOURTH that's Me thanks once again My Brother, definitely you've helped me so much stay blessed Bro 1
  • @
    @kahejashukuru4797منذ 2 سنوات From Kenya Mimi ni mkongomani lakini fafundisho Yako yamenisaidiya sana.
  • @
    @yekoniafanuel4071منذ 2 سنوات Kaka mungu akusimamie miaka kama yote make kla naposkiliza mafundxho haya nahs kama yamefundishwa leo make hayaishi utam blessed San broo
  • @
    @intentionsr7946منذ 4 سنوات Hapo kwa communication skills ni kweli kabsa kk
  • @
    @charlesmyamba8531منذ 3 سنوات aaah broo uko vzur maan toka nianze kukufwatilia nfanya mengi yanatiki
  • @
    @majaliwaanania8565منذ 4 سنوات Asante sana kaka.nimejifunza kwakweli.
  • @
    @misahalinga8078منذ 4 سنوات Asante kwa somo zuri, lakini mi naomba unambie ni vitabu vipi vizur kusoma na vimeandikwa kwa lugha ya kiswahili, maana vitabu vingi ni vya lugha ya kigeni id="hidden2" class="buttons"> na ndo vingi hasa ndo navyosoma lakin kutokana na lugha kidgo tatizo nahisi naacha nyama nyingi kwakwer, naomba list ya vitabu vya kiswahili mbari na vya nanauka kaka, asant kaz njema ....وسعت 1
  • @
    @helenamusa432منذ 4 سنوات Asante kaka kuanzia sasa nakua na mipaka ili niwe na fulaha siku zote
  • @
    @mariamomar8244منذ 3 سنوات Hi how do you get the motivation books
  • @
    @saumumbukuzi4922منذ 4 سنوات Haswaa hapo kwenye communication skills ni tatizo
  • @
    @ramadhaniferuziالعام الماضي Allah azidi kukuweka kaka ntajitahidi kila video zako niweze kuwa nazifata 1
  • @
    @rajabujuma8725منذ 4 سنوات "Jifunze kupuuzia baadhi ya mambo" asante sana kaka ubarikiwe kwa kutuelimisha
  • @
    @bashirumussa7045منذ 4 سنوات Habari kaka Ezden; hongera kwa elimu nzuri unayoitoa. Je nawezaje kupata vitabu mbalimbali kutoka kwako?
  • @
    @matridachatila6839منذ 2 سنوات Jifuze kuwana masiliano mazuri kiujmla kuwana mdimo. unaotoa. Maneno mazuri 2
  • @
    @misahalinga8078منذ 4 سنوات Asante kwa somo zuri, lakini mi naomba unambie ni vitabu vipi vizur kusoma na vimeandikwa kwa lugha ya kiswahili, maana vitabu vingi ni vya lugha ya kigeni id="hidden4" class="buttons"> na ndo vingi hasa ndo navyosoma lakin kutokana na lugha kidgo tatizo nahisi naacha nyama nyingi kwakwer, naomba list ya vitabu vya kiswahili mbari na vya nanauka kaka, asant kaz njema ....وسعت 1